Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, atawaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi Jumatano Mei 19, 2021 katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam kuanzia saa 4:00 Asubuhi.

Mapigano yaanza tena baada ya siku tatu
Baraza la usalama kukutana baada ya mashambulizi Gaza