Ray C anaendelea kusononeshwa na changamoto anazokutana nazo katika harakati zake za kupata dawa za methadone anazotumia ili zimsaidie kuushinda kabisa uteja (addiction) wa dawa za kulevya alizokuwa anatumia.

Leo, mwimbaji huyo amnbaye kutokana na post yake ya awali kwenye Instagram alielekea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupata huduma alikutana na hali ambayo ameitafiri kama mpango wa waliomtendea kutaka kumpoteza.

NIKIWA NJIANI ASUBUHI KUELEKEA MUHIMBILI!YALIYONIKUTA HUKO NAMWACHIA MUNGU!ILA KITABU KARIBIA NAKIMALIZA KWANI NI CHA KUSIKITISHA SANA LAKINI NAJUA HATMA YANGU ANAIJUA MUNGU PEKEE NA NDIE ATAKAENISIMAMIA KWA HAKI NA UKWELI MTUPU!LOADING!MY LIFE IS UR LESSON!11” aliandika kwenye post inayomuonesha akiendesha gari

 

Unachopaswa Kufanya Katika Hatua Za Awali Za Uhusiano Na Msichana Unaempenda
FA Wahuzunishwa Na Adhabu Ya Eva Carneiro