Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwasa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza kasi ya utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), Bwawa ambalo hii leo linajazwa maji rasmi.

Mwaka ameyasema hayo wakati ali toa salami za Mkoa wa Morogoro kwenye tukio la ujazaji maji wa Bwawa hilo linaloshuhudiwa hii leo Decemba 22, 2022 na Viongozi mbalimbali wa kitaifa, Wananchi, Wanasiasa na Viongozi wa Dini wakiongozwa na Rais Samia.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Mwasa

Waziri wa Nishati, Januari Makamba pia ni muongo ni kwa Viongozi wa Serikali waliopo katika tukio hilo la kihistoria, na kukamilika kwa bwawa hilo kutasaidia kupata umeme wa uhakika na kuingia uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

Aidha, kwa upande wao wananchi ambao walihojiwa na Dar24 wamesema kupita Bwawa hilo, wanatarajia kuona wasimamisi wa mradi na Serikali kuja na mipango mipya ya unafuu katika mambo mbalimbali ili kupunguza makali ya maisha.

Emiliano Martinez awindwa Allianz Arena
Polisi Tanzania yatupa ndoano Young Africans