kuwa uchafuzi wa bahari ni moja ya kikwazo vya Rio de Janeiro katika maandalizi ya michuano ya Olympic yanayotarajiwa kufanyika mwakani.

Hata hivyo, kutokana na hali hiyo waandaji wa mashindano hayo ya riadha wamesema kuwa watafanya kila linalowezekana kwa afya ya wanariadha wakati wa Olympic.

Takribani asilimia 70 ya maji taka yanamwagika Rio de Janeiro katika fukwe za Guanabara,eneo ambalo wapiga mbizi watafanyia mashindano yao.

Katika hali inayoonyesha ni hatari kwa afya wanariadha walioko kwenye mafunzo katika pwani hiyo wameona mizoga ya wanyama na uchafu ukiwa ukingoni mwa eneo hilo ambalo mashindano hayo yatafanyika.

Lowassa Na Lissu Wachochea Kuni Wakati Wa Kuchukua Fomu
Benitez: Sina Muda Wa Kujishana Na Mourinho