Manchester United imeshindwa kumsajili mshambuliaji wa  Southampton Sadio Mane mwezi huu. Louis van Gaal anataka kumsajili nyota huyo wa Senegal katika dirisha la Januari ili kuboresha safu yake ya ushambuliaji ambayo imepwaya kupita maelezo.

Inasemekana maofisa wa United walibisha hodi Southampton wiki hii kujaribu kuwasilisha ombi lao la kumyakua   Southampton.

 

Lakini Manchester United wameambiwa hakuna biashara inayoweza kufanyika dirisha hili juu ya Sadio Mane labda kwa dirisha la kiangazi.

Wachezaji Wa Kigeni Wa Yanga Waikosha Azam FC
Wabunge wacharukia Bomoabomoa

Comments

comments