Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu hii leo katika Hospitali ya Nairobi.

Aidha, Makamu wa Rais amemtembelea mbunge huyo mara baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.

Magazeti ya Tanzania leo Novemba 29, 2017
Picha: Kilimanjaro Stars yajiandaa na Challenge Cup 2017