Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii katika mzunguko wa lala salama (raundi ya 9), kwa timu zote 24 kushuka dimbani pointi 3 muhimu katika msimamo ili kuweza kupanda ligi daraja la kwanza msimu ujao.

Jumamosi Kundi A, Green Warriors Vs Transit Camp (Mabatini), Singida United Vs Abajaro Tabora (Namfua), Mvuvumwa FC Vs Mirambo (Lake Tanganyika).

Kundi B, Jumapili Pamba FC v Madini FC (CCM Kirumba), AFC ARUSHA Vs Bulyanhulu (Sheikh Amri Abeid), huku Jumatatu Alliance School v JKT Rwamkoma (CCM Kirumba).

Jumamosi Kundi C, Cosmopolitan FC v Abajaro Dar (Karume), Jumapili Mshikamano FC Vs Kariakoo FC (Mabatini), Villa Squad Vs Changanyikeni (Karume).

Kundi D, Jumamosi African Wanderes v Mkamba Rangers (Wambi Mafinga), Jumapili Wenda FC Vs Sabasaba FC (Sokoine) huku Jumatatu The Mighty Elephant Vs Mbeya Warriors (Majimaji).

 

Rungu la waziri Mkuu latua bandari ya Tanga, atoa saa 16 kuelezwa madudu yaliyogharimu Mabilioni
Ligi Kuu Mzunguko Wa 20 Wikiendi Hii