-
“Nyinyi (kamati) mmehatarisha maisha yenu, mngeweza hata kupewa sumu, lakini mmetanguliza utanzania”
-
“Huu ulikuwa mtego, kama hizi ripoti zingekuwa za juu juu ningeunda ya kwangu ya wataalamu”
-
“Nimesikia wengine wanasema wanapunguza wafanyakazi, mimi nilitamani kusikia wameondoka”
-
“Wote waliotajwa kwenye ripoti ambao ni wateule wangu, ni matumaini yangu watakaa pembeni’
-
“Nakubaliana na wewe kuwa mtaandika barua kwenye vyama vinavyohusika kuhusu wabunge wanaotajwatajwa”
-
“Hii ripoti inanipa mwanya hata kuangalia hata jinsi ya kuwa nachagua wasaidizi wangu”
-
“Aliyevumbua hayo mabaya ni Prof. Mruma, ndiye aliyefanya hadi tukafahamu ni Prof. Mruma”
-
“Uhuru wa kweli ni uchumi ambao utalisha watoto wako, utatengeneza barabara na kuendesha nchi kwa manufaa ya wote
-
“Wapo Watanzania ambao ni wazalendo sana, ndio maana hao wazungu wa dhahabu wapo hadi leo wanazungumza”
-
“Nchi yetu imechezewa sana, na hao wanaotuchezea sijui kama wanatuona sisi ni binadamu au majitu”