Katibu Mkuu ofisi ya Rais menenjinent  utumishi wa umma  Dokta  Lauren Ndumbaro amesema Serikali imeanza michakato ya kuandanda tathimini ya watumishi katika sekta za Umma ili kupata uhalisia uhaba na mahitaji ya watumishi nchini.


Dokta Ndubaro ameyasema hayo mjini Morogoro  wakati wa kufungua mafunzo ya uandaaji wa maelezo ya kazi na orodha ya wafanyakazi kutoka ofisi ya Rais TAMISEMI .


Anasema Kuna baadhi ya maeneo kumekua na changamoto ya uhaba wa watumishi huku sehemu zingine zikiwa na watumishi wengi zaidi  hivyo mchakato huo utasaidia kukabiliana na changamoto ya uhaba wa watumishi sekta mbalimbali za Serikali.

Mhadhiri chuo kikuu Michigan Marekani ateuliwa kuwa balozi kutangaza utalii wa Tanzania
CAF: Mashabiki ruhsa Uwanja wa Mkapa