Kuanzia leo, Agosti 15, Wanawake nchini Scotland watapata Taulo za Kike bure, kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa maka 2020.

Scotland, inakuwa nchi ya kwanza Duniani kuweka Sheria inayofanya upatikanaji wa Taulo za kike, kuwa haki ya Msingi na ya lazima.