Baada ya mvua kunyesha na kusababisha nyumba zaidi ya 70 yakiwemo maghorofa kujaa maji , Mbweni, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo ametembelea eneo hilo na kuagiza kijiko kuchimba mtaro na kuyatoa.

Mwenyekiti wa mtaa wa Mbweni Teta ambao umeathirika zaidi na maji hayo , Abdalah Mindu, amesema wakati wananunua viwanja katika eneo hilo, maji yalikuwa hayatwami lakini baada ya watu kuanza kujenga kila mvua zikinyesha yanaongezeka.

Japo zoezi la kuyatoa maji huyo ni jibu la muda mfupi, ameeleza ahadi ya jibu litakalo tatua adha hiyo kwa muda mrefu,…Bofya hapa kutazama