Mwimbaji mrembo, Christina Milian ameingia tena sokoni baada ya kuachana na mpenzi wake, rapa Lil Wayne.

Kwa mujibu wa ‘People Magazine’, Christina Millian ameamua kujifariji kwa kujiachia na marafiki zake wa kike.

“Yuko New York hivi sasa kwa ajili ya ‘Fashion Week’, anakula bata na rafiki zake wa kike,” limeandika jarida hilo.

Lil Wayne and Christina Milian take romantic stroll on the streets of Philadelphia, PA. The couple look happy in love, holding hands and hugging. Pictured: Lil Wayne and Christina Milian Ref: SPL826301  220814   Picture by: Gilbert Carrasquillo/Splash News Splash News and Pictures Los Angeles:310-821-2666 New York:212-619-2666 London:	870-934-2666 photodesk@splashnews.com

Christina Milian na Lil Wayne 

Weezy na Millian walikuwa wapenzi kwa takribani mwaka mmoja.

 

 

 

LL Cool J Aongea Na Afrika Mashariki Kwa Kiswahili
Mtuhumiwa Ugaidi Ajirusha Kutoka Ghorofani Dar