Klabu ya Simba Sports February 1 2016 imeingia kwenye headlines na historia, baada ya uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Rais wa klabu hiyo Evans Aveva wamezindua duka ambalo litakuwa linauza vifaa vyenye nembo ya klabu hiyo, hili ndio duka la kwanza rasmi la Simba kufunguliwa.

Simba 02

Simba 01

Baada ya hapo Rais wa Simba Evans Aveva amethibitisha kufungua duka jingine la bidhaa za klabu katika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi Kariakoo siku za hivi karibunia. Simba sasa imepiga hatua moja mbele na kuiga mfano wa vilabu vya Ulaya kama FC Barcelona ambavyo vinamiliki maduka ya bidhaa zenye nembo ya klabu yao.

Simba 04

TFF Yaipongeza Ruvu Shooting
TFF Haina Vita Na ZFA