Mwimbaji wa kike wa Kenya, Size 8 na mumewe Dj Mo yameendelea kuionesha dunia kuwa maisha ndoa ni matamu tofauti na vijana wengi hasa maarufu wanavyoyaogopa.

Mastaa hao wa nyimbo za injili nchini Kenya wametumia mitandao ya kijamii kupeana sifa hadharani kuonesha kuwa hawajutii kuwa pamoja bali kila mmoja ni chaguo sahihi na baraka kwa mwenzie.

Wiki hii, DJ huyo alimuandalia keki nzuri mkewe na kupost picha kwenye mitandao ya kijamii. Keki hiyo iliandikwa ‘Best wife ever’.
kekii

Zawadi hiyo ilijibiwa na Size 8 kwa ujumbe mzuri mtamu kwenye mitandao ya kijamii.
“He got my heart, he got me smiling, I can’t ask for more .@djmokenya. God I thank you for your blessings.”

Dodoma: Harufu Ya Rushwa Yanukia, Vijana Waandamana
Lulu Kuachia Filamu Mpya ‘Ni Noma’ Aliyoipika Mwaka Mzima