Fulham wamethibitisha kuwa meneja wa zamani wa klabu ya  Watford, Slavisa Jokanovic ndio kocha wao mpya baada ya siku 49 za kufukuzwa kwa kocha wa timu hiyo, Kit Symons.

Jokanovic raia wa Serbia  mwenye miaka 47 ameacha kibarua chake kama kocha wa  Maccabi Tel Aviv,, timu ambayo ndio vinara katika ligi kuu nchini Israel..

Van Gaal Aahirisha Kujiuzulu Man Utd
Arsenal Imeanza Msako Wa usajili Wa Januari 2016

Comments

comments