Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai  ameongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.

IMGL2163

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.

IMGL2184

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. kushoto ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas kashililah

IMGL2194

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha pamoja kilichoongozwa  na Spika wa Bunge katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.  kulia ni Andrew Chenge, Stanslaus Nyongo (katikati) na Mhe. Christine Ishengoma (kushoto).

IMGL2211

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.

Magazeti ya Tanzania leo Septemba 5, 2017
Pele: Neymar alikuwa sahihi kuhama Barcelona