Kiungo mshambuliaji aliyetemwa na Simba wakati wa dirisha dogo la usajili, Simon Sserenkuma amerea rasmi katika klabu yake ya Uganda.

Sserenkuma amesaini mkataba ambao haujawekwa wazi na klabu ya Express ambayo alikuwa akiichezea kabla ya kusajiliwa na Simba.

Raia huyo wa Uganda alijiunga na Simba wakati wa dirisha dogo la usajili la mwaka juzi lakini alishindwa kuonyesha kiwango bora kutokana na kupelekea kukatishwa kwa mkataba wake.

TFF Haina Vita Na ZFA
Pep Guardiola Meneja Mpya Etihad Stadium