Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Tanga,  imeokoa Shilingi Milioni 30.5 za Chama cha Walimu cha kuweka na kukopa wilaya ya Korogwe zilizokuwa  zimefanyiwa ubadhirifu na baadhi ya waliokuwa viongozi wa chama hicho.

Taarifa hiyo imetolewa kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Tanga, Dkt. Sharifa Bangala leo Septemba 18, 2020.

Miili ya watoto 10 yaagwa Bukoba
IGP Sirro aongezewa muda EAPCCO

Comments

comments