Tanzania imepata habari njema ya kupanda viwango vya dunia kwa nafasi mbili, kutoka nafasi ya 137 mpaka nafasi ya 135 katika viwango vya soka ulimwenguni.

Hiyo ni Kwa mujibu wa taarifa kutoka shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA ambalo limetoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka kwa dunia nzima ambapo Tanzania ipo nafasi ya 38 huku ukanda wa CECAFA ikishika nafasi ya 5 Kati ya 11 na Afrika Mashariki Tanzania imeshika nafasi ya tatu.
.
Viwango vya ubora kwa ukanda wa – CECAFA:
1. Uganda  (80)
2. Kenya  (107)
3. Sudan  (128)
4. Rwanda  (130)
5. Tanzania  (135)
6. Burundi  (144)
7. Ethiopia  (151)
8. South Sudan  (173)
9. Djibouti  (186)
10. Somalia  (199)
11. Eritrea  (207)
Kaburu, Aveva wafutiwa shtaka la kutakatisha fedha
Viwango vya ubora wa soka (20 bora) kwa bara la Africa:
1. Senegal  (20)
2. Tunisia  (29)
3. Nigeria  (34)
4. Algeria  (38)
5. Morocco  (39)
6. Egypt  (49)
7. Ghana  (51)
8. Cameroon  (53)
9. DR Congo  (55)
10. Ivory Coast  (56)
11. Mali  (57)
12. Burkina Faso  (61)
13. South Africa  (71)
14. Guinea  (74)
15. Cape Verde  (78)
16. Uganda  (80)
17. Zambia  (81)
18. Benin  (83)
19. Gabon  (88)
20. Congo  (90)

Viwango vya ubora wa soka(10 bora) kwa wanaoongoza kidunia:
1. Belgium
2. France
3. Brazil
4. England
5. Portugal
6. Uruguay
7. Spain
8. Croatia
9. Colombia
10. Argentina.

Wakati hayo yakijiri timu ya taifa ya Tanzania ipo kambini ikijiwinda na mchezo dhidi ya Sudan utakaopigwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Septemba 22 mwaka huu, kwaajili ya kutafuta nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika kwa wachezaji wa timu za ndani CHAN.

Salama akwama kushiriki BSS msimu wa 10, Dully Skyes, Jide waziba pengo
Majaliwa anusa ufisadi ujenzi wa Makaburi ya ajali Morogoro