Mwandishi maarufu wa Nigeria Elechi Amadi amefariki akiwa na umri wa miaka 82 amefariki siku ya Jumatano majira ya saa tisa, ikiwa ni wiki moja moja baada ya kuripotiwa kuugua kwa kwake

Taarifa zinasema  kuwa marehemu alitarajiwa kuhudhuria hafla ya kusoma vitabu katika bandari ya Hacourt lakini hakuweza kutokana na kuugua kwake.

Amadi ambaye aliandika vitabu maarufu kama vile The Concubine,Isiburu,Sunset in Biafra,Peppersoup na The Road to Ibadan 

Akiwa mzaliwa wa eneo la Aluu katika jimbo la Riverstate mwaka 1934, Elechi Amadi alisoma katika taasisi ya Umuahia,Oyo na chuo kikuu cha Ibadan ambapo alipata shahada yake katika somo la fizikia na hesabati.

Pia aliwahi kufanya kazi kama mpimaji wa mashamba enzi za uhai wake.

Video: Uharibifu uwanja wa Taifa, Yanga kuwajibishwa
Kidole champonza Sugu, aadhibiwa kukosa vikao 10 vya Bunge, Kubenea naye nje