Mwanasiasa nguli na kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tambwe Hizza, amefariki dunia leo asubuhii. Kwa mujibu wa msemaji wa @ChademaMedia Tumain Makene, Bwana Hizza alifariki nyumbani kwake akiwa amelala.