Aliyekuwa Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais Menejiment Ya Utumishi Wa Umma, Selina Kombani amefariki leo jioni nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mheshimiwa Celima Kombani aliyekuwa mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi tangu mwaka 2005 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 56.

Dar24 tunatoa pole kwa watanzania wote na kuwaombea faraja familia ya marehemu Kombani. Apumzike Kwa Amani.

NEC Yabariki Kauli Za Bulembo kuhusu Ikulu
Picha: Lowassa Atikisa Kwa Nape, Maelfu Warudisha Kadi Za CCM