Timu ya soka ya Simba SC, yenye maskani yake Jijini Dar es salaam inayoshiriki ligi kuu Vodacom Tanzania bala, imewasili leo katika uwanja wa ndege uliopo mjini Bukoba tayari kuwakabiri wenyeji wao Kagera FC katika mchezao utakaochezwa kesho Alhamis Septemba 26 mwaka huu katika dimba la Kaitaba.

Wachezaji wa Timu ya Simba SC ya jijini Dare es salaam walivyo wasili katika uwanja wa ndege uliopo Bukoba

 

 

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine NBS
Waandamana kupinga muswada unaodhibiti kushiriki ngono kabla ya ndoa