Mkurugenzi Mtendaji wa Montage, Teddy Mapunda amefariki baada ya kuugua ghafla wakati akipata futari na wenzake jana Jumanne (Mei 04) hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kukimbizwa hospitali ya Aga Khan.

Machi, 2012, alichaguliwa kuwa mmoja ya wajumbe watano waliounda Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utalii (TTB) akiwa

Mtaalamu wa Masoko (Marketing) na Afisa Uhusiano Serengeti Breweries Limited.

Teddy amewahi kuwa Katibu Mkuu wa kamati iliyoundwa na TFF ya kusaidia Taifa Star Ishinde mwaka 2015 katika Maandalizi ya michezo ya kufuzu Kombe la Dunia

Watu 23 wafariki baada ya flyover kuvunjika
Waziri Mkuu kushuhudia pambano la Kiduku, Dulla