Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini TFF limekutana na viongozi wa klabu zitakazoshiriki klabu bingwa Africa na Kombe la Shirikisho ili kujadili maandalizi ya kuelekea kwenye michuano hiyo itakayoanza rasmi mwezi ujao.

Kikao hicho kimefanyika leo Jimatani (Agosti 10) kiliongozwa na katibu mkuu wa TFF ambapo Azam, Yanga na Simba ziliwakilishwa na watendaji huku Biashara ikikosa muwakilishi kutokana na changamoto ya usafi.

Azam FC yatupwa nje Kagame Cup
Rais wa Sudan Kusini ahimiza kusitishwa uhasama dhidi ya makundi ya upinzani