Hatimaye tatu bora ya watangaza nia ya urais Tanzania wa chama cha CCM yatolewa. Ni matokep ambayo hayakutegemewa na nchi nzima lakini hii ndio hali halisi.
Waliochaguliwa ni
1. John Magufuli
2. Amina S Ali
3. Asha-Rose Migiro
Kikao kinaendelea hivi sasa Dodoma, wakiwakaribisha makada waliofika tatu bora.