Shirika la Reli Tanzania TRC limetiliana saini mkataba wa manunuzi ya vichwa 17 vya treni ya umeme na Jozi 10 za treni ya abiria zinazotumia , na kampuni ya Hyundai Rotem kutoka nchini Korea Kusini.

Uhuru Seleman: Nina siri moyoni
Waziri Ummy: TARURA muache kukaa ofisini