Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Shilingi Trilioni 5.151 katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021-22, ambayo ni sawa na ufanisi wa asilimi 94.3 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 5. 462.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema makusanyo hayo ni sawa na ukuaji wa asilimia 17.4 ukilinganisha na makusanyo ya kipindi kama hichi kwa mwaka wa fedha uliopit.

Ajali ya basi la Zakaria Air na Prado yaua watu wawili Tarime
Rais wa Ufilipino atangaza kustaafu siasa