Jeshi la polisi mkoani mbeya limesema kuwa limejipanga vizuri kusimamia amani wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu pamoja na kuendelea kutoa elimu kwa wananchi.

Dar 24 imepata nafasi ya kuzungumza na kamanda wa polisi mkoa wa mbeya ,Urlich Matei.

“Tumejipanga vizuri sana kuhakikisha kwamba uchaguzi ,kampeni zote zinafanyika kwa amani na utulivu lakini siri yetu kubwa ni kushirikiana na jamii kwa ujumla,” Amesema Matei.

Bofya hapa….

Drone kuruka kwa dola 100
Maelfu waandamana Belarus.

Comments

comments