Ikiwa ni juhudi za serikali na mashirika pamoja na Taasisi mbalimbali zinazofanyika ili kupunguza au kumaliza tatizo la ugonjwa huu wa kuambukiza.

Kumeripotiwa kupungua kwa karibu asilimia 50, idadi ya watu wanaoambukizwa virusi vya ugonjwa wa ukimwi nchini Uganda katika kipindi cha miaka minne iliyopita kwa mujibu wa viwango vilivyotangazwa hivi leo

Gazeti la Uganda la Observer, lilokuwa likiandika takwimu ma ripoti mbali mbali kusuhu hali ya maaambukizi nchini Uganda leo limeandika takwimu  zilizotolewa na matamshi ya mkurugenzi mkuu wa UNAids Musa Bugundu, mjini Kampala.

Amesema kuwa ana uhakika ifikapo mwaka ujao, hakutakua na mtoto atazakayezaliwa akiwa na ugonjwa wa ukimwi.

Chris Brown adai atalaumiwa kwa kifo cha 2PAC, Suge Knight amshtaki
Mereveille Boppe Awanyamazisha Young Africans