Ujenzi wa mradi wa Umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere – JNHPP umefikia asilimia 85.06, huku Serikali ikiainisha maendeleo ya mradi hadi kufikia mwezi Machi 2023 katika maeneo ya kimkakati.
Maeneo hayo ni Kazi za Kuchepusha Mto (Diversion Works), Tuta Kuu (Main Dam) Njia za Maji ya Kuendesha Mitambo (Power Waterways).
Mengine ni Jengo la Mitambo na Mitambo (Powerhouse), kituo cha Kusafirisha Umeme (Switchyard), Matuta Madogo (Saddle Dams), Eneo la Mradi, Makazi ya Kudumu ya Wafanyakazi na Ofisi (Operation
Barabara na Daraja la Kudumu.