Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi – PEPFAR.

Dkt. Samia amekutana na Mwakilishi huyo Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John Nkengasong, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund), Peter Sands, Ikulu Chamwino Mkoani hii leo Juni 12, 2023 Ikulu jijini Dodoma.

Andre Onana kimeeleweka Stamford Bridge
Sancho yupo hatarini Manchester United