Watanzania Thomas Ulimwengu(kushoto) na Mbwana Samatta(kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuwasili nchini Japan na kikosi cha TP Mazembe ya Congo DR tayari kwa ushiriki wa fainali za Klabu Bingwa ya Dunia.

Hii ni mara ya pili kwa Mazembe kushiriki fainali hizo.

Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2011 ambapo ilivaana na Inter Milan katika mchezo wa fainali ambao hata hivyo ilishindwa kutwaa kombe.

FBI Walivalia Njuga Suala La Babu Blatter
Q – Chillah Adai Kifo Chake Kitaongeza Thamani Ya Muziki Wake