Mrembo wa Uganda, Zarina Hassan ameungana na mashabiki na familia ya baba wa mtoto wake, Diamond Platinumz, kumtakia heri ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo (Octoba 2), kwa ujumbe mzuri.

Zari ametumia akaunti yake ya Instagram kueleza kile alichonacho moyoni mwake kwa ajili ya Diamond kwenye siku yake ya kipekee huku zikiwa zimepita takribani siku 50 tangu alipomzalia mtoto.

Ingawa maneno yote yalikuwa yameshasemwa na waliotangulia kumtakia kheri Naseeb, Zari aliweza kuchagua yaliyobaki na kuyafikisha vizuri kwa lugha ya kigeni.

Diamond

Everything i could say has been said and you’ve prolly heard it over and over but; this year you celebrate your birthday as a father a blessing and a gift that’s bigger than life its self. Your birthday gift came earlier this year there isnt anything else i can give you. So allow me to wish you a happy birthday as BABA TEE. May the almighty God continue showering you with blessings over your career and MOST IMPORTANTLY to grant you many more years to see @princess_tiffah start her grade one, see her to university, date boys (i know you don’t wana hear this but its going to happen ?), hand her out in marriage and lastly to be able to see our grand kids (Tiffah’s babies) that said, Allow me to wish you a happy birthday my kipenzi ? @diamondplatnumz.”

 

 

Michael Carrick Amfurahisha Van Gaal
Kituo Cha Kulea Na Kukuza Vipaji Kufunguliwa Dar