Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteuwa Balozi Khamis Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu – Zuhura Yunus imesema uteuzi wa Balozi Kagasheki umeanza Aprili 18, 2023.

Usiyoyajua kuhusu mapigano ya Majenerali wawili wa Sudan
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Aprili 21, 2023