Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mohamed Salum kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Uwakala wa Meli Nchini – TASAC, akichukua nafasi ya Kaimu Mkeyenge aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa – NIC.
