Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameteua na kufanya mabadiliko ya Uongozi kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna – TANAPA akiwemo Sixtus Mapunda ambaye sasa anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akitokea Sumbawanga.

