Video: Acacia yatafuta suluhu Marekani, Wapiga dili wamzuia JPM kwenda nje
8 years agoComments Off on Video: Acacia yatafuta suluhu Marekani, Wapiga dili wamzuia JPM kwenda nje
Acacia yatafuta suluhu Marekani, chanzo mvutano makinikia na Tanzania, Wapiga dili wamzuia JPM kwenda nje, mialiko aliyopata nje ya nchini ni 60, nchini alizotembelea tangu awe Rais ni 4, Manji aponzwa na sare za JWTZ, Mdee mbaroni saa 48…, Bofya hapa kutazama