Video: Ahadi ya Makamu wa Rais kuhusu ujenzi wa barabara Tunduru imefika Bungeni
8 years ago
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni, Mbunge wa Tunduru kusini ameifikisha Bungeni ahadi iliyotolewa na Makamu wa Rais Samia Suluhu ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha rami wakati wa chaguzi.