Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani Mohammed Mpinga, akizungumza na waandishi wa habari leo amezitaja ajali kubwa tatu zilizotokea ndani ya wiki moja kusababisha vifo vya watu 46 huku wengine 75 wakijeruhiwa katika ajali hizo kuwa zimesababishwa na uzembe wa madereva.

Video: TRA watoa taarifa ya ukusanyaji mapato kwa mwaka wa fedha 2015/2016
Eid Mubarak