Ali Kiba kortini matunzo ya mtoto, Waumini ‘wampiga’ mawe Askofu KKKT, ashindwa kuendesha ibada, akimbilia kwenye gari na kuondoka, Polisi waingilia warejesha amani, Stendi Msamvu yaingili milioni 3 kwa siku, Mafuta ya kula yaanza kuadimika…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 7, 2018.
