Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa alichofanyiwa Lissu kinaudhi, aeleza hatua alizochukua hadi sasa, Maalim Seif, Juma Duni waenda Nairobi kumjulia hali, Ndugu 6 familia moja kunyongwa, Wagombea CCM kuanza kuisoma namba…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 27, 2017. Tazama video

Video: INAUMA SANA! Binti mwenye ugonjwa wa ajabu asimulia mazito, apaza sauti kuokoa maisha yake

Wabunge Uganda watwangana bungeni, mmoja adaiwa kuingia na bunduki
Watumiaji wa Twitter kuongezewa maneno