Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametoa maoni yake juu ya uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu mchanga wa dhahabu.
- ?LIVE IKULU: Rais Magufuli akipokea ripoti uchunguza wa mchanga wa madini (Makinikia)
- Breakingnews: Rais Magufuli amtumbua Waziri Muhongo
Tundu Lissu amesema kuwa “…tumesaini mkataba wa ulinzi wa wawekezaji na mataifa wanayotoka wawekezaji hao Marekani, Canada, Uingereza wote ni mabosi wakubwa makampuni ambayo Rais ameyakamatia mali zao yanatoka kwenye hizi nchi tuna ‘bilateral investment treaties ambazo zinalinda mikataba hii.” amesema Lissu. Bofya hapa kutazama