Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro leo Juni 15-2016 amekutana na waandishi wa habari na kuelezea sakata la Kiongozi wa ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe kuhusu kuzuia Kongamano lililokuwa limeandaliwa na Vyama pinzani