Baada ya uongozi wa timu ya Yanga kumteua, Antonio Nugaz kuwa afisa uhamasishaji na msemaji wa klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani jijini Dar es salaam, Afisa habari wa timu ya Simba Haji Manara ametumiwa salam na Nugaz akimtaka kuacha kuzungumzia Yanga na badala yake kushughulika na klabu yake ya Simba.

Tazama video hapa chini.

Serikali inapika mpango wa kuboresha mitaala ya elimu nchini
Messi ambwaga Ronaldo tuzo ya mchezaji bora