Wakili asema bado mwezi mmoja puto la Seth lipasuke, Mambo ya nje yamchefua JPM, ahimiza msukumo wa kiuchumi katika wizara hiyo, ataka mabalozi kuchapa kazi, kutafuta wawekezaji, Kairuki ashtukia madudu Madini…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 28, 2017. Tazama video

Waokolewa baada ya kukaa baharini kwa miezi mitano
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 28, 2017