Video: Barua ya Serikali kwa KKKT sarakasi tupu, NACTE yafuta usajili vyuo 20
7 years agoComments Off on Video: Barua ya Serikali kwa KKKT sarakasi tupu, NACTE yafuta usajili vyuo 20
Barua ya Serikali kwa KKKT sarakasi tupu, Mwigulunadai ni batili, amsimamisha anayedaiwa kuiandika, asema mambo ya imani si ya kuguswaguswa, NACTE yafuta usajili vyuo 20, Wanaokwamisha mafao ya wastaafu kukiona cha moto…, Bofya hapa kutazama habari kubwa zilizopewa uzioto leo Juni 9, 2018.