Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) July 16, 2016 lilitoa tamko la kumfungia msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kwa kigezo cha kutokuwa wa madili katika sanaa ambapo Nay kupitia millardayo.com amejitokeza na kudai kumalizana na Basata hivyo kuwaambia mashabiki wake kuendelea ku-request wimbo kwani unaendelea kupigwa media zote. Kufuatia taarifa alizotoa Naye, Katibu mtendaji wa BASATA, Godfrey Mungereza akayaongea haya
 
Hii hapa taarifa aliyoitoa msanii Nay wa Mitego kupitia Exclusive ya millardayo.com na AyoTV

Idrissa Gueye Arejeshwa Ligi Kuu Ya England (EPL)
Hull City Washindwa Kumpata Chris Coleman