Chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es salaam kimetangaza kuanza kugawa barakoa za vitambaa kwa watu wasiojiweza takribani milioni moja wa mkoani hapo.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam, Magdalena Kamba mapema leo wakati akitoa tathmini yao juu ya maambukizi ya virusi vya corona nchini na mipango yao ya kusaidia Serikali katika mapambano…., Bofya hapa kutazama

Video: Kauli za Magufuli, mawaziri wake utata, Serikali yatoa bei elekezi ya sukari
Zimbabwe yatangaza punguzo la bidhaa kukabili corona