Nyalandu atoa sababu sita zo kuondoka, CCM yamlipua Nyalandu, yasema watu wanaoondoka kasi imewashinda, JPM atangaza kiama kwa wakuu wa mikoa wasiojenga viwanda, Asitisha bomoa bomoa 3,000…,  Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 31, 2017. Tazama video

Ndugai: Tatizo wana washwa washwa
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 31, 2017